• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MBIO MWENGE WA UHURU 2023 MANISPAA YA SINGIDA

  • Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhandisi Paskasi Muragili aliyewakilishwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Jeshi Lupembe akikabidhiwa Mwenge wa Uhuru na Mkurugenzi wa Halmshauri ya Singida Vijijini eneo la kititimo. Mwenge wa Uhuru umepokelewa kutoka Halmashauri ya Singida Vijijini. Mwenge umetembelea na kuzindua miradi mbalimbali Manispaa ya Singida.

    Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Ndg Abdalla Shaib Kaim, akitembelea mradi wa barabara ia Imbele iliyopo Kata ya Minga Manispaa ya Singida na kuridhishwa na mradi huo.

    Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru akishirikana pamoja na Mbunge wa Singida Mjini na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida Kupanda Mti walipotembelea Kituo cha afya cha Mtipa wakati wa mbio za Mwenge.

    Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Ndugu Abdalla Shaibu Kaim, alipotembelea na kuzindua rasmi Klabu ya Wapinga Rushwa shule ya sekondari Uhamaka. Pia Kiongozi huyo aliweza kuweka jiwe la msingi kama alama ya Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Singida,Mha. Paskasi Muragili akipanda mti wakati alipotembelea Kituo cha afya cha Mtipa wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru kilichopo Manispaa ya Singida kama ishara ya kutunza mazingira pia kuweka kumbukumbu ya mbio za Mwenge wa Uhuru 2023.

    Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Ndg Abdalla Shaib Kaim, alipotembelea na kufungua rasmi mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madara ma vyoo matundu matatu Shule ya Msingi Mwaja vilivyojengwa kupitia mradi wa BOOST

    Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Ndugu Abdalla Shaib Kaim, akimkabidhi cheti Kiongozi wa Klabu ya Wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Uhamaka baada ya kuzindua rasmi Klabu hiyo shulei hapo wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.