• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAKAMU WA RAIS AELEZEA FALFASA YA MWENGE WA UHURU

Posted on: October 14th, 2025

MMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema falsafa ya Mwenge wa Uhuru imekuwa dira inayoendeleza dhamira ya kuhamasisha uzalendo na ujasiri wa kupambana na maovu katika jamii na kuleta amani, upendo, maendeleo na mshikamano katika Taifa la Tanzania na Mataifa mengine.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akihutubia katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Kumbukizi ya Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa kwa Mwaka 2025 zilizofanyika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Amesema kupitia falsafa hiyo, nchi imefanikiwa katika mambo mengi ikiwemo kuondoa ubaguzi, ukabila, na kujenga umoja wa kitaifa, kuimarisha utawala bora, kupinga dhuluma, dharau, chuki na kupambana na ufisadi na rushwa.

Makamu wa Rais ameongeza kwamba Mwenge wa uhuru ulipoasisiwa ulilenga kuidhihirishia dunia na kuonesha mfano kwa Mataifa yaliyokuwa bado chini ya udhalimu wa kikoloni, maana ya Taifa huru na uwezo wa kujitawala pasipo kuingiliwa na mtu mtu yeyote.

Makamu wa Rais ametoa wito kwa Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura, kushiriki katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea ili kusikiliza sera za vyama mbalimbali, na kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi ili kuwachagua viongozi watakaoongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo kama ambavyo Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 zilivyobeba ujumbe wa kuhamasisha wananchi kushiriki katika Uchaguzi Mkuu.

Katika kumbukizi ya Miaka 26 tangu kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Makamu wa Rais amesema ili kuendelea kuenzi maisha na mchango mkubwa wa Baba wa Taifa, Watanzania wote ni vema kusimamia misingi mikuu aliyotuachia Mwl. Julius Nyerere.

Ametaja misingi hiyo ikiwemo kulinda uhuru wa Taifa pamoja na kudumisha umoja na amani na kusimamia haki miongoni mwa jamii, kujenga na kuimarisha maadili mema katika jamii hususan miongoni mwa vijana ambao ndiyo Taifa la sasa na la kesho. Pia ameongeza kwamba misingi mingine ya kusimamia ni pamoja na kuwajibika kwa kila mwananchi kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha maisha na kuinua vipato na hivyo kuchangia katika ujenzi wa Taifa.

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AMTANGAZA MBUNGE JIMBO LA SINGIDA MJINI

    October 30, 2025
  • MKURUGENZI MANISPAA YA SINGIDA APIGA KURA

    October 29, 2025
  • DC GONDWE ALITIMIZA HAKI YAKE

    October 29, 2025
  • TUMETIMIZA HAKI YA KIKATIBA:TUMEPIGA KURA

    October 29, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.