• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKURUGENZI WA MANISPAA YA SINGIDA AKAGUA MIRADI BOOST

Posted on: November 28th, 2025

Katika kuhakikisha ifikapo Januari 2026 wanafunzi wanaanza masomo yao bila vikwazo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Bi Joanfaith Kataraia leo Novemba 28, 2025 ametembelea miradi ya BOOST na ametoa maelekezo kwa msimamizi wa miradi hiyo.


Maelekezo hayo ni pamoja na kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati na ikiwa katika kiwango bora ilikuhakikisha wanafunzi wanapolekewa shuleni bila vikwazo ifikapo Januari 2026.


Miradi hiyo ya BOOST inahusisha ujenzi wa madarasa na vyoo kwa shule za msingi pamoja na awali katika baadhi ya Shule ndani ya Manispaa ya Singida.


Bi Kataraia alitembelea na kukagua madarasa mawili na matundu ya vyoo 06 ambayo yanajengwa katika Shule ya Msingi Unyankhae, Shule ya Awali ya Kisasa katika Shule ya Msingi Uhamaka madarasa mawili na matundu ya vyoo 06.


Lakini pia alikagua ujenzi wa Madarasa mawili na matundu ya vyoo 06 katika Shule ya Mwaja huku katika Shule ya Kimai kuna ujenzi wa madarasa mawili ya msingi na matundu ya vyoo 13 huku Madarasa mawili ya awali pamoja na matundu ya vyoo 06.


Mbali na shule hizo lakini alikagua ujenzi wa Shule mpya kabisa ya mkondo mmoja ya Unyamikumbi B ambapo hapa pana shule ya msingi yenye madarasa 07 na ile ya awali ya kisasa.


"Ujenzi unaenda vizuri, lakini muongoze spidi katika ujenzi nataka kuona ujenzi unakuwa wa kiwango bora na kila kitu kifuate taratibu zote za manunuzi. Miradi hii ikikamilika kwa ubora na kiwango cha juu itakuwa ni jambo zuri zaidi bila kusahau madawati ya wanafunzi watakapoanza masomo Januari kila kitu kiwekamilika."

Matangazo

  • NAFASI ZA KAZI MANISPAA YA SINGIDA June 03, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI MANISPAA YA SINGIDA

    December 23, 2025
  • NANAUKA ATOA MAAGIZO

    December 18, 2025
  • UJENZI WA MRADI WA BOOST NI TABASAMU KWA WANANCHI

    December 17, 2025
  • KAMATI YA UKAGUZI YAKAGUA MIRADI

    December 11, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.