• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

"VIJANA WAJULISHWE YANAYOTEKELEZWA NA SERIKALI "

Posted on: July 8th, 2024



Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava amepongeza Kongamano la Vijana ambalo lilikuwa bora huku akisisitiza kuwa vijana waelekezwe mambo ambayo yanatekelezwa na awamu ya sita wajue nini kinaendelea.

Hayo yamesemwa leo Julai 8, 2024 katika Kongamano la Vijana ambalo limefanyika katika Uwanja wa Bombadia ambapo Mkesha wa Mwenge wa Uhuru utafanyika na maada tofauti zilitolewa na wataalum mbalimbali.

Baadhi ya maada ambazo zilitolewa katika Kongamano hilo ni pamoja Elimu ya Mpira Kura, Falfasa ya Mwenge wa Uhuru,Elimu ya Utunzaji fedha, Wajibu wa Kijana na kati ya maada hizo, Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Comrade Mohamed Kawaida alitoa maada kwa vijana.

Vijana zaidi ya 1000 walijitokeza katika Kongamano la Vijana ndani ya Manispaa ya Singida likiwa na amshamsha za kutosha.

Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Kitaifa alisema amefurahishwa na namna kongamano la vijana lilivyofana na ushiriki mkubwa viongozi na wadau mbalimbali.

Mnzava alisisitiza kuwa:"Vijana kwa sasa wanatakiwa kuelezwa na kujulishwa mambo yanayotekelezwa na awamu ya sita wajue nini kinaendelea litakuwa ni jambo jema na watajifunza kitu.

"Lakini niwapongeze sana kwa Kongamano hili katika Halmashuri 99 nilizopita hapa naona mmefanya vizuri kuwa na vijana zaidi ya 1000 ninaamini watakuwa wamejifunza kitu.

"Makongamano kama haya kwa vijana yanawapa vijana nafasi ya kujifunza mambo mengi lakini wanakutana pamoja na wanajifunza mambo mengi na jambo la msingi ni vijana kufanyia kazi yale wanayoelekezwa na wanayoendelea kujifunza."

Hata hivyo kiongozi w Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa amesisitiza kuwa makongamano ya vijana yaendelea kufanyika kwani yatakuwa msaada kwa vijana.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.