• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko/Mrejesho |
Singida Municipal Council
Singida Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Singida

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Elimu Msingi na Awali
      • Idara ya Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango, na Uratibu
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Idara ya Miundombinu na Maendeleo ya Vijiji na Miji
    • Units
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Kitengo cha Sheria na Usalama
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka Ngumu na Usafi wa Mazingira
      • Kitengo cha Misitu na Maliasili
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Maziwa
      • Mawe
      • Maeneo ya Kihistoria
    • Kilimo
    • Umeme wa Jua na Upepo
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Miundombinu
    • Usafi wa Mazingira
    • Ukusanyaji wa Mapato
    • Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu
    • Kituo cha Biashara
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Utawala
      • Kamati ya Mipangomiji,Mazingira, na Ujenzi
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Time Table
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/MwenyeKiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyoidhinishwa
  • Machapisho
    • Miongozo
      • Miongozo ya Kilimo
    • Policy
    • Fomu
    • Taarifa Ya Utekelezaji
    • Jarida
    • Mkataba Wa Huduma Kwa Mteja
    • Sheria
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa Za Kifedha
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAONESHO YA NANE 2024 DODOMA

  • Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Rehema Sombi Omary alipotembelea Banda la Mkoa wa Singida leo Agosti 6, 2024 kujionea shughuli mbalimbali ambazo zinatekelezwa na mkoa katika sekta ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi katika Halmashuri zake saba, Manispaa ya Singida, Mkalama,Ikungi, Singida DC,Itigi, Iramba na Manyoni

    Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Petronella Msechu akiwa katika moja ya vipando vya Halmashauri ya Manispaa ya Singida katika Maonesho ya Nanenane.

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Jeshi Lupembe akisalimiana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida, Mhe Yagi Kiaratu katika Mwenyekiti wa Halmashauri ya Singida DC, Elia Digha wakiwa katika Viwanja vya Nzuguni, katika Maonesho ya Nanenane.

    Afisa Uvuvi wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Benedict Bulugu, alitoa elimu ya ufugaji wa samaki kwa wananchi waliotembelea banda la Bwawa Samaki la Manispaa ya Singida katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.

    Mkuu wa Divisheni ya Elimu Sekondari, Athuman Mnyusi akiwa katika Banda la Halmshauri ya Manispaa ya Singida wakati wa NaneNane.

    Afisa Kilimo wa Manispaa ya Singida, Godfrey Lwakatare akitoa maelekezo kwa wananchi ambao walijitokeza katika vipando vya Manispaa katika maonesho ya Nanenane.

    "Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, akiwa katika Banda la Wajasiriamali wa Mkoa wa Singida na kuangalia boga la kipekee lenye kilo 16, ambalo limekuwa kivutio kwenye Maonesho ya Nanenane yanayofanyika mkoani Dodoma katika viwanja vya Nzuguni."

    Afisa Tehama, Fadhil Mshamu(Mwenyemiwani) akiwa na Afisa Afya, Isack Madono walipotembelea Banda la Manispaa katika Maonesho ya Nanenane.

    Mkuu wa Wilaya ya Singida, Mhe Godwin Gondwe akiwa tayari kwa ajili ya Kongamano la Uwezeshaji katika maonesho ya Nanenane, Mkoani Dodoma.

    Waheshimiwa Madiwani wakiwa katika Banda la Halmashauri ya Manispaa ya Singida wakiangalia bidhaa za wajasiriamali katika Maonesho ya Nanenane.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ March 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO DIRISHA LA ROBO YA TATU January 10, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU MWENYE ULEMAVU KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA SINGIDA October 02, 2024
  • MATOKEO YA VITENDO KWA DEREVA October 03, 2024
  • Tazama Zote

Habari za hivi Punde

  • MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA AMALI MKOA WA SINGIDA

    May 21, 2025
  • ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU PILI

    May 20, 2025
  • MIAKA MINNE YA MHE. DKT SAMIA SULUHU HASSAN ASANTE KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA WAFANYAKAZI

    May 20, 2025
  • "UPATIKANAJI WA HAKI KUONGEZA IMANI KWA WANANCHI"

    May 19, 2025
  • Tazama Zote

Video

UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST HADI TAREHE 02 JUNI 2023 - MANISPAA YA SINGIDA
Video Zaidi

Viunganisho vinavyohusiana

  • Press Release

Kurasa za Karibu

  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana Nasi

    Karume Road Street

    Sanduku la Posta: P.O BOX 236,Singida

    Telephone: +255 26 250 2179/236

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: md.singidamc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

© 2018 Halmashauri ya Manispaa ya Singida.Haki zote zimehifadhiwa.